The Tanzania Sound

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The Tanzania Sound
The Tanzania Sound Cover
Compilation album ya Mbalimbali
Imetolewa 6 Aprili, 1995[1] awali ilitoka 1980 na 1993 kisha hii ya 1995
Imerekodiwa Miaka ya 1950-60
Aina Muziki wa dansi
Urefu 56:14
Lebo Original Music


"The Tanzania Sound " ni jina la kutaja albamu ya nyimbo mchanganyiko ya muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania. Albamu imekusanya nyimbo za miaka ya 1950-na-1960 na kuziweka pamoja. Albamu ilitolewa tarehe 6 Aprili, 1995. Nyimbo kali kutoka katika albamu ni pamoja na Dada Mwajuma, Tangu Umeondoka, Tukiwa Na Monika Shuleni, Wanawake Tanzania na Shemji Shemeji. Katika miaka ya 1950, Tanzania ilitamba sana kwa muziki wa dansi uliokuwa na hamasa kubwa kushinda hata nchi zake jirani za Zaire na Kenya. Midundo katika kipindi hiki cha miaka ya 1950-1960 ilikuwa balaa.[2]


Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Hii ni orodha ya nyimbo zinazopatikana katika albamu hii.

  1. A1 – Nimeona Uwa - Kiko Kids
  2. A2 - Sili, Sishibi, Silali – Kiko Kids
  3. A3 - Wanawake Wa Tanzania – Salum Abdallah na Cuban Marimba Band
  4. A4 - Ubeberu – Salim Abdullah na Cuban Marimba Band
  5. A5 - Vilionitendea – Kilwa Jazz Band
  6. A6 - Janja Yako – Nuta Jazz Band
  7. A7 - Mapenzi Tu – Hodi Boys
  8. A8 - Nora – National Jazz Band
  9. B1 - Lipa Kodi Ya Nyumba – Western Jazz Band
  10. B2 - Dunia Ina Mambo – Atomic Jazz Band
  11. B3 - Fitina Nyingi – Dar Es Salaam Jazz Band
  12. B4 - Mpenzi Una Nini – Dar Es Salaam Jazz Band
  13. B5 - Safari Ye Nuta – Nuta Jazz Band
  14. B6 - Naona Ajabu – Njohole Jazz Band

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The Tanzania Sound katika wavuti ya Amazon. Audio CD (April 6, 1995).
  2. The Tanzania Sound katika All music.com - Tanzania built its own blend of local, Afro-Cuban and Congolese ingredients, and these are its 1950s and 1960s classics. More driving than the Congolese, more dance-oriented than the Kenyans, these Tanzanian bands used local rhythms earlier than most, and also contained some splendid hornmen with very individual sounds. The roots of Mlimani Park, as fresh as on Day One.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]