The Lion Guard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

The Lion Guard ni mfululizo wa televisheni ya Marekani uliotengenezwa na Ford Riley kulingana na filamu ya Disney ya 1994 The Lion King. Mfululizo huo ulitangazwa kwanza na filamu ya televisheni, inayoitwa The Lion Guard: The Return of the Roar kwenye Disney Channel mnamo Novemba 22, 2015.

Video-x-generic.svg Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Lion Guard kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.