Thaniya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thaniya ni aina ya kamusi inayotafsiri maneno au misamiati kwa kutumia lugha mbili, mfano Kiswahili kwa Kiingereza au Kiingereza kwa Kiswahili.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thaniya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.