Thando Hopa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hopa anazungumza kwenye Kongamano la Kiuchumi la Dunia mnamo 2020.

Thando Hopa (amezaliwa Sebokeng, 1989) ni mwanamitindo,mwanaharakati na mwanasheria wa Afrika Kusini. Ndiye mwanamke wa kwanza mwenye ualbino kuwa kwenye jalada la Vogue.[1][2] Wakati akifanya kazi kama mwendesha mashtaka, alitafutwa na Gert-Johan Coetzee kufanya kazi kama mwanamitindo.Hopa alilenga kuonyesha ualibino kwa njia nzuri.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thando Hopa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.