Nenda kwa yaliyomo

Terry Bonchaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Terry Bonchaka (1982 hivi – 29 Oktoba 2003) alikuwa msanii wa muziki wa hiplife wa Ghana ambaye baada ya onyesho alikufa katika ajali ya gari. Alifurahia kutumbuiza. Terry alikuwa na nguvu na kipaji cha hali ya juu.