Terere
Mandhari
Terere ni kilele cha mlima Kenya unaopatikana nchini Kenya katika kaunti ya Meru.
Kina urefu wa mita 4,187 juu ya usawa wa bahari[1].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Terere kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |