"I'm Only Me When I'm With You" Imetolewa: 2008 (Radio Disney)
"Stay Beautiful" Imetolewa: 2008 (Radio Disney)
Taylor Swift ni jina la kutaja albamu ya kwanza na jina la msanii mwenyewe wa muziki wa county na pop wa Kimarekani Bi. Taylor Swift. Albamu iltolewa mnamo tar. 24 Oktoba2006 kwenye studio ya Big Machine Records, na kutumbukiza vibao vikali vitano kwenye chati za Billboard kwa upande wa muziki wa country.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Taylor Swift (albamu) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.