Tawakel Karman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tawakel Karman

Tawakkol Abdel-Salam Karman (amezaliwa 7 Februari, 1979 mjini Mekhlaf) ni mwanasiasa na mwandishi wa habari kutoka nchi ya Yemen. Jina lake pia huandikwa Tawakel katika alfabeti ya Kilatini. Mwaka wa 2011, pamoja na Ellen Johnson Sirleaf na Leymah Gbowee alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tawakel Karman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.