Tasaccora
Mandhari
Tasaccora mji unaotambulika kwa mji wa Sigi katika Algeria ya sasa [1] ulikuwa mji wa kale wa Kirumi ndani ya mkoa wa Roma wa Mauretania Caesariensis.
Askofu wa mji huu Pequary, [2] [3] anajulikana kuwa alishiriki katika mtaguso wa Karthago mnamo mwaka 484 na Mfalme Huneriki wa Ufalme wa Wavandali. Muda mfupi baada ya Sinodi Pequary inawezekana alihamishwa kwenda Sicily, iliyodhibitiwa na Wavandali.
Askofu wa sasa wa Tasaccora ni Adam John Parker, askofu msaidizi wa Katoliki wa Baltimore, Marekani. [4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ La Tasaccora titolare at www.gcatholic.org.
- ↑ Pius Bonifacius Gams, Series episcoporum Ecclesiae Catholicae, (Leipzig, 1931), p. 468.
- ↑ Stefano Antonio Morcelli, Africa christiana, Volume I, (Brescia, 1816), p. 308.
- ↑ La Tasaccora at catholic-hierarchy.org
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tasaccora kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |