Paoneaanga pa Tartu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Tartu Observatory)

Paoneaanga pa Tartu (Tartu Observatory) ni paoneaanga maarufu huko Estonia. Kituo hiki kilianzishwa katika Chuo Kikuu cha Kifalme cha Dorpat (jina la awali la Tartu) kikafunguliwa mwaka 1802.

Jengo la uchunguzi lilikamilishwa mwaka 1810 kwenye kilima cha Toome huko Dorpat.

Vifaa vya uchunguzi viliwekwa katika mwaka 1814 na von Struve ambaye baadaye alianza uchunguzi.

Wanasayansi kadhaa wanaojulikana kuhusishwa katika kituo hiki : von Struve, Johann Heinrich von Mädler, Thomas Clausen, Ernst Julius Öpik, Grigori Kuzmin, Jaan Einasto.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.