Paoneaanga pa Tartu
Mandhari
Paoneaanga pa Tartu (Tartu Observatory) ni paoneaanga maarufu huko Estonia. Kituo hiki kilianzishwa katika Chuo Kikuu cha Kifalme cha Dorpat (jina la awali la Tartu) kikafunguliwa mwaka 1802.
Jengo la uchunguzi lilikamilishwa mwaka 1810 kwenye kilima cha Toome huko Dorpat.
Vifaa vya uchunguzi viliwekwa katika mwaka 1814 na von Struve ambaye baadaye alianza uchunguzi.
Wanasayansi kadhaa wanaojulikana kuhusishwa katika kituo hiki : von Struve, Johann Heinrich von Mädler, Thomas Clausen, Ernst Julius Öpik, Grigori Kuzmin, Jaan Einasto.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tartu Observatoorium 1805-1948, Georgi Želnin, 2004[dead link]
- Timeline of Tartu Observatory[dead link]
- Fraunhofer refractor
- About the search for dark matter in the Tartu observatory
- Tartu Observatory Ilihifadhiwa 11 Januari 2016 kwenye Wayback Machine.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Paoneaanga pa Tartu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
