Taron Egerton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Taron Egerton

Taron Egerton (2014)
Amezaliwa Taron David Egerton
(1989-11-10)10 Novemba 1989
Birkenhead, Uingereza
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 2012-sasa

Taron Egerton (amezaliwa 10 Novemba 1989) ni mwigizaji maarufu wa Wales.

Anajulikana kwa jukumu lake kama Gary "Eggsy" Unwin katika Kingsman: The Secret Service (2014) na Kingsman: The Golden Circle (2017).[1][2][3]

Filamu alizocheza[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Taron Egerton". ew.com (kwa Kiingereza). Entertainment Weekly. 2023-10-07. Iliwekwa mnamo 2024-01-01. 
  2. "Taron Egerton Biography & Movies" (kwa Kiingereza). Tribute.ca. 2023-10-07. Iliwekwa mnamo 2024-01-01. 
  3. "Taron Egerton - Emmy Awards, Nominations and Wins" (kwa Kiingereza). emmys.com. 2023-10-07. Iliwekwa mnamo 2024-01-01. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taron Egerton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.