Tarafa Baghajati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarafa Baghajati

Tarafa Baghajati ni mwanaharakati na mwandishi nchini Austria . Ni kati ya waanzilishi wa kikundi cha Kiislamu cha "Initiative muslimischer ÖsterreicherInnen". Mzaliwa wa Syria, anaishi Vienna, Austria tangu mwaka 1986.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tarafa Baghajati kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.