Tapachula, Chiapas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mji wa Tapachula, ChiapasJiji la Tapachula
Nchi Mexiko
Jimbo Chiapas
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 258,008
Tovuti:  www.tapachula.gob.mx

Tapachula ni mji mkubwa wa pili katika jimbo la Chiapas. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 258,008 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 303 km².

Mji ulianzishwa mwaka 1821.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tapachula, Chiapas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.