Taniaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Taniaba ni tamathali ya semi ambayo inatumia jina la mtu binafsi kwa ajili ya mwingine kwa sababu ya kulinganisha tabia zake na za huyo mwingine.

Mifano:

  1. Firauni kama kielelezo cha ukaidi: Martin ni Firauni wa siku hizi.
  2. Idi Amini kama kielelezo cha ukatili na uuaji: Shabani kwa kweli ni Idi Amini.
  3. Julius Nyerere kama kielelezo cha mtenda haki: Paulo ni Nyerere kwa kila mtu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taniaba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.