Tamasha la Badagry
Mandhari
Tamasha la Badagry ni tukio la kila mwaka linalofanyika katika Badagry, mji ulioko katika Jimbo la Lagos, Nigeria. Tamasha hili linapangwa na African Renaissance Foundation (AREFO). Tukio hili linaonyesha umuhimu wa mji wa kale wakati wa enzi za biashara ya watumwa. Ni mkusanyiko wa utamaduni na maonyesho ya urithi wa Kiafrika. Mwandalizi huleta wenyeji na wapenzi wa tamaduni kutoka pande zote za dunia kusherehekea tamasha hili. Moja ya mambo muhimu katika tamasha hili ni maonyesho ya kisanii kutoka katika vinyago, wanenguaji, na watu wanaoshika moto. Linajumuisha mashindano ya soka, kupiga ngoma ya Sato na Maadhimisho ya Siku ya Uhuru.[1][2][3][4][5][6][7][8]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Japhet Alakam (6 Septemba 2015). "African Magic, masquerades end Badagry festival". Vanguard Nigeria. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Japhet Alakam (31 Agosti 2015). "2015 Badagry Festival: Calls for end to modern slavery in Africa". Vanguard Nigeria. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Anote Ajeluorou (25 Agosti 2015). "Badagry Festival 2015… uniting the Diaspora with motherland". The Guardian. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ PM News (31 Agosti 2015). "Fanfare at Badagry Festival". Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Premium Times (18 Agosti 2012). "Annual Badagry Festival Begins". Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Yinka Olatunbosun. "Lagos Black Heritage festival 2015 Beckons". Thisday News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Mei 2015. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Daily Independent. "badagry glimpse lagos famous tourist site". Kimberly Okonkwo. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "World mayors hail Badagry festival". Vanguard News. 26 Agosti 2012. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Badagry kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |