Nenda kwa yaliyomo

Tabu Mtingita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tabu Mtingita ni msanii na mwigizaji wa filamu na vichekesho nchini Tanzania ikiwa shughuli zake anazifanya katika jiji la Dar es Salaam na makazi yake yakiwa katika mkoa wa Mtwara[1] [2] [3]

Nyimbo alizoimba[hariri | hariri chanzo]

  1. Mawifi[4]
  2. Penzi Jipya[5][6]

Filamu alizocheza[hariri | hariri chanzo]

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

mwaka waandaaji wa Tuzo Tuzo/Kipengele Jina la Filamu Matokeo
2022 Bodi ya Filamu Tanzania Mchekeshaji Bora Mama Mkwe Ameshiriki[8]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tabu Mtingita kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.