Nenda kwa yaliyomo

Sydney Kumalo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sydney Kumalo (1935-1988) alikuwa msanii na mchongaji wa nchini Afrika Kusini. [1] Alijulikana zaidi kwa kazi yake ya ufua vyuma na utengenezaji wa sanamu za chuma. .

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Kumalo alizaliwa mnamo mwaka 1935 huko Sophiatown, Johannesburg na kukulia katika familia ya Wazulu . [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Jager, EJ (1992). "Art: Sydney Kumalo (1935-1988)". Africa Insight. 22 (1). Iliwekwa mnamo 14 Novemba 2021.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sydney Kumalo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.