Nenda kwa yaliyomo

Sydney Clouts

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sydney Clouts (1926 - 1982) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Alifanya kazi kama mkutubi mjini London, Uingereza. Hasa alitunga mashairi.

Vitabu vyake

[hariri | hariri chanzo]
  • One Life (1966)

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sydney Clouts kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.