Nenda kwa yaliyomo

Sussana Dantjie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Sussana Rebecca Dantjie
Nchi Afrika kusini
Kazi yake Mwanasiasa, spika wa bunge, na ni mjumbe wa chama cha siasa (ANC)


Sussana Rebecca Dantjie (née Tsebe), ni mwanasiasa was Afrika Kusini na ni Spika wa bunge la Jimbo la Kaskazini mashariki tokea mwaka 2014.Alikuwa mjumbe wa baraza la taifa la Afrika Kusini tokea Mei 2009 paka Mei 2014.Pia ni Sussana Dantjie ni mjumbe wa chama cha siasa cha African National Congress[1]


Kipindi cha kuhudumu kwake alikuwa kwenye kamati ya mawasiliano ya Portfolio na mkaguzi wa kamati ya kudumu .

Marejeo.

[hariri | hariri chanzo]
  1. African National Congress
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sussana Dantjie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.