Nenda kwa yaliyomo

Susie Forrest Swift

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Susie Forrest Swift

Susie Forrest Swift (10 Juni 186219 Aprili 1916) alikuwa Mmarekani wa Jeshi la Wokovu, na baada ya kubadilisha dini na kuwa katekista wa Kanisa Katoliki, akawa mtawa Mdominiko.

Katika nafasi zote mbili, alifanya kazi kama mhariri wa magazeti.[1]

  1. Winston, Diane; Winston, Diane H. (30 Juni 2009). Red-Hot and Righteous: The Urban Religion of The Salvation Army (kwa Kiingereza). Harvard University Press. uk. 270. ISBN 978-0-674-04526-2.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.