Stumai Athumani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stumai Abdallah Athumani
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 25 Agosti 1997
Mahala pa kuzaliwa    Tanzania
Nafasi anayochezea Kiungo wa kati
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania

* Magoli alioshinda

Stumai Abdallah Athumani, (alizaliwa 25 Agosti 1997), ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Tanzania ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya JKT Queens na Timu ya Taifa ya wanawake Tanzania.[1]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2018, Stumai Athumani aliitwa kwenye Timu ya Taifa ya wanawake Tanzania. Alifunga bao moja katika harakati zao za kutwaa Ubingwa wa Kombe la CECAFA la Wanawake 2018 kwa kufunga bao la tatu katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Ethiopia.[2][3]

[4][1] Stumai Athumani alichaguliwa katika kikosi cha kwanza cha Tanzania katika mashindano ya Wanawake ya COSAFA 2021.[5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Saddam, Mihigo. "CECAFA WOMEN 2018: Tanzania yatwaye igikombe ku nshuro ya kabiri yikurikiranya-AMAFOTO - Inyarwanda.com". inyarwanda.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-02-27. 
  2. "Five nations confirm participation in 2018 Cecafa Women's Championship". JWsports1 (kwa en-GB). 2018-07-03. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-21. Iliwekwa mnamo 2022-02-21.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. "Video: Tanzania pull stunning comeback to retain Cecafa title". JWsports1 (kwa en-GB). 2018-07-29. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-21. Iliwekwa mnamo 2022-02-21.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  4. Isabirye, David (2018-07-28). "Tanzania humbles Ethiopia to win 2018 CECAFA Women title". Kawowo Sports (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-02-26. 
  5. "Tanzania go for youth at 2021 COSAFA Women’s Championship". COSAFA. 20 September 2021.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stumai Athumani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.