Stumai Abdalla
Mandhari
Stumai Abdalla | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Kazi yake | mwanasoka |
Stumai Abdalla ni mwanasoka Tanzania aliezaliwa mnamo mwaka 1997, Agosti 25 ambaye anacheza kama mshambuliaji katika timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania.[1] [2]Mnamo 2019 alikuwa nahodha wa timu ya taifa walipokuwa wakitetea kombe lao la Ubingwa wa CECAFA kwa Wanawake [3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Cecafa 2016: Tanzania edge out Rwanda | Goal.com". www.goal.com. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
- ↑ JWsports1 (2016-09-12). "Cecafa: Rashid nets brace as Tanzania edge Rwanda in five goal thriller". JWsports1 (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-09. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
{{cite web}}
: CS1 maint: numeric names: authors list (link) - ↑ "Tanzania will not let Cecafa Women Championship trophy go - Abdalla | Goal.com". www.goal.com. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
- ↑ "Tanzania will not let Cecafa Women Championship trophy go - Abdalla | Goal.com". www.goal.com. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stumai Abdalla kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |