Stuli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Stuli ya miguu mitatu.
Stuli za plastiki.

Stuli (kutoka Kiingereza "stool") ni kiti kisicho na kiegemeo kwa mgongo na mikono kilichotengenezwa kwa mbao au plastiki na hukaliwa na mtu mmoja tu.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stuli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.