Stuart Bithell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stuart Bithell (kuzaliwa Rochdale, 28 Agosti 1986) ni mwendesha meli wa Uingereza na mshindi wa michuano ya Olimpiki. Alishindana kwa pamoja na Luke Patience daraja la 470 katika Olimpiki ya majira ya joto kwa mwaka 2012 ambapo alifanikisha kushinda medali ya dhahabu kwa wanaume wa daraja la 49er akiwa na Dylan Fletcher.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]