Nenda kwa yaliyomo

Steven Point

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Steven Lewis Point

Steven Lewis Point, (alizaliwa Julai 28 1951)[1] ni kiongozi wa maswala ya elimu nchini Kanada, pia ni mwanaharakati wa maswala ya sheria. Yeye ndiye msimamizi mkuu wa sasa Chuo Kikuu cha British Columbia. Mwaka 2007 hadi 2012 alihudumu kama Luteni Gavana wa 28 wa British Columbia

  1. "LIEUTENANT GOVERNORS AND TERRITORIAL COMMISSIONERS Historical List". parl.ca. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-12-11.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Steven Point kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.