Nenda kwa yaliyomo

Stephen Eustáquio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eustáquio akiwa na timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ya Kanada katika Kombe la Dunia la FIFA 2022.

Stephen Antunes Eustáquio (Alizaliwa Desemba 21, 1996) ni mchezaji wa kitaalamu wa mpira wa miguu kutoka Kanada ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya FC Porto katika ligi ya Primeira Liga na pia ni naibu nahodha wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ya Kanada.[1][2]



  1. "Canada Soccer announces squad for FIFA World Cup Qatar 2022". Canadian Soccer Association. 12 Novemba 2022. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Mauro Eustáquio, o nazareno que sonha com a seleção do Canadá" [Mauro Eustáquio, the Nazaré boy who dreams of Canada national team] (kwa Kireno). Futebol Distrital de Leiria. 21 Februari 2015. Iliwekwa mnamo 23 Novemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stephen Eustáquio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.