Nenda kwa yaliyomo

Stephanie Rose

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stephanie Rose ni mshindi wa taji la urembo, mwanamitindo, mwigizaji raia wa Ufilipino na Australia.[1] Alitawazwa kama Miss Philippines-Australia mnamo Oktoba 2011 na tangu wakati huo ameendelea na uanamitindo, uigizaji na kazi za hisani.[2]

  1. "Stephanie Rose: Miss Philippines Australia 2011". Philippine Sentinel. 2011-11-06. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-09-10. Iliwekwa mnamo 2013-08-12.
  2. "PASC beauty queens shine in Manila | Ang Kalatas Australia". Kalatas.com.au. 2012-07-15. Iliwekwa mnamo 2013-08-12.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stephanie Rose kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.