Stephanie Camp

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stephanie M. Camp (Machi 27, 1968Aprili 2, 2014)[1] alikuwa mwanahistoria wa utetezi wa haki za wanawake wa nchini Marekani. Kitabu chake, cha Closer to Freedom: Enslaved Women and Everyday Resistance in the Plantation South (2004), kilisababisha uelewa mpya wa jinsi watumwa wa kike walipinga utumwa wao katika miaka ya 1800.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Washington, Death Index, 1940-2014
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stephanie Camp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.