Nenda kwa yaliyomo

Stefan Bajcetic

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stefan Bajcetic katika mchezo kati ya FC RB Salzburg dhidi ya Liverpool FC 27-07-2022

Stefan Bajcetic Maquieira (alizaliwa 22 Oktoba 2004) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Hispania ambaye anacheza kama beki wa kati au kiungo wa kati katika klabu ya Liverpool.

Maisha yake ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Stefan Bajcetic Maquieira[1] alizaliwa tarehe 22 Oktoba 2004[2] huko Vigo Galicia, Uhispania.Ni mtoto wa mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani wa Serbia Srđan Bajčetić na mama mgalisia.[3][4]

Maisha ya klabu

[hariri | hariri chanzo]

Bajcetic alitoka katika akademi ya vijana ya Celta Vigo, na alisajiliwa na klabu ya Liverpool katika Premia ligi ya Uingereza mnamo Desemba 2020..[5][6][7][8]

Maendeleo ya mchezaji huyo Bajcetic ya uwanjani yalipelekea kuongezewa mkataba mpya mnamo Agosti 2022.[9] Alipata nafasi ya kuingia kwa mara ya kwanza tarehe 27 agosti akitokea benchi pindi Liverpool ilipokuwa ikicheza na klabu ya AFC Bournemouth na Liverpool kupata ushindi wa magoli 9 kwa 0 wakiwa nyumbani Anfield.[10] Pia Bajcetic alipata nafasi ya kuingia kwa mara ya kwanza katika michuano mikubwa dunia ya UEFA walipokuwa wakicheza dhidi ya klabu ya Ajax mnamo tarehe 13 september ambapo aliingia kutoa nje katika dakika za 90 , kuchukua nafasi ya mkongwe Thiago Alcântara. [11]Kwa kufanya hivyo, akawa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi wa Liverpool kushiriki katika Ligi ya Mabingwa UEFA, na kufikia rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Billy Koumetio.[12]

  1. "2022/23 Premier League squad lists". Premier League. 16 Septemba 2022. Iliwekwa mnamo 31 Desemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Stefan Bajcetic: Overview". Premier League. Iliwekwa mnamo 31 Desemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Un meteoro vigués en Liverpool". (es) 
  4. "Stefan u dresu Srbije moja velika želja! Ne verujemo u baksuzno "ić" na Enfildu: Otac Liverpulove nade za 24sedam izneo planove za budućnost". 24sedam (kwa Kiserbia).
  5. "Celta y Liverpool acuerdan la marcha del canterano Stefan Bajcetic". La Voz de Galicia (kwa Kihispania). A Coruña. 23 Desemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. O'Neill, Caoimhe (30 Julai 2022). "Who is Stefan Bajcetic and why are Liverpool fans so excited?". The Athletic. Iliwekwa mnamo 31 Desemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "Stefan Bajcetic: Liverpool is the best place for me to develop". Liverpool F.C.
  8. Bacariza, Marcos L. (23 Julai 2022). "Stefan Bajcetic: "Valió la pena irme del Celta al Liverpool"". Moi Celeste (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 18 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. "Stefan Bajcetic signs new contract after impressive Liverpool pre-season". This is Anfield. 10 Agosti 2022. Iliwekwa mnamo 11 Agosti 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. "Liverpool 9–0 Bournemouth: Reds record biggest ever Premier League win". This is Anfield. 27 Agosti 2022. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. "Liverpool's Joël Matip rises to see off Ajax and ease the Anfield anxiety", 13 September 2022. Retrieved on 14 September 2022. 
  12. "Stefan Bajcetic becomes Liverpool's youngest-ever Champions League player". This is Anfield. 14 Septemba 2022. Iliwekwa mnamo 14 Septemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stefan Bajcetic kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.