Spud 2: The Madness Continues

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Spud 2: The Madness Continues ni filamu ya vichekesho ya Afrika Kusini ya mwaka 2013 iliyoandikwa na kuongozwa na Donovan Marsh na kuigiza Troye Sivan na John Cleese. Ni mwendelezo wa filamu ya mwaka 2010 Spud.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Spud 2: The Madness Continues kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.