SpongeBob SquarePants

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

SpongeBob SquarePants ni mmojawapo ya wahusika wakuu katika maonesho ya Nickelodeon Spongebob SquarePants.

Yeye ni doya ya baharini ambaye anapenda kazi yake ya kukaanga katika Krusty Krab.

Spongebob huishi katika nanasi na konokono wake aitwaye Gary.

Spongebob ilionekana kwa mara ya kwanza mnamo 1 Mei 1999 kwenye televisheni.