Soweto Panthers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Soweto Panthers ni clabu ya mpira wa kikapu nchini Afrika ya kusini iliyopo katika mji mdogo wa Soweto katika jiji la Johannesburg. Timu inashiriki katika mashindano ya Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (BNL) na WBNL [1]. Timu ya wanaume ilianzishwa mwaka 1986, na ilishinda Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (BNL) ya mwaka 2018. TImu ya wanawake iliundwa mwaka 2020 na ilishinda Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu ya wanawake (WBNL) mwaka 2021

Timu ya wanaume Soweto Panthers ilijiunga na BNL mwaka 2011, na timu ya wanawake lijiunga mwaka 2020.[2]

Heshima[hariri | hariri chanzo]

Mnamo octoba 2018 Panthers waliifunga Egoli Magic 84-58 na kuibuka na ushindi.[3]

Panthers iliongozwa na

Kocha mkuu: Steven Butler

Meneja mkuu: ELvis Ukpong

Mwalimu wa viungo: Gcina Panyana[3][1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Panthers – Basketball National League" (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2022-09-02. 
  2. "The Basketball National League Launch A Semi-Professional League For Women – Basketball National League" (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2022-09-02. 
  3. 3.0 3.1 Pongrass Import (2018-12-18). "Bedfordview residents lead Soweto Panthers to basketball championship". Bedfordview Edenvale News (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-09-02.