Nenda kwa yaliyomo

South Orange, New Jersey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukumbi wa kijiji cha Orange Kusini



South Orange Village ni mjini mwa Essex County, New Jersey, Marekani. Na kwa mujibu wa sensa ya Mareakani iliyofanywa katika mwaka wa 2000, mji ulikuwa na idadi ya wakazi wapatao 16,964. Chuo Kikuu cha Seton kinapatikana huko mjini South Orange.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]