Soumaya Naamane Guessous

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Soumaya Naamane Guessous ni mwanasosholojia na mwandishi wa habari wa Moroko bingwa wa haki za wanawake.

Anajulikana kama mwandishi wa kitabu Au-delà de toute pudeur, kilichotolewa kwa mara ya kwanza mwaka 1988. Kilihusu hasa maisha ya ngono kwa wanawake wa Moroko.[1][2] kulingana na utafiti wa kitaaluma uliofanyika katika miaka ya 1980 utafiti ukiofanyika miongoni mwa wanawake 500 wa jamii tofauti na umri usiolingana. Kitabu hicho kiliongoza kwa mauzo nchini Moroko, kiliuza nakala 40,000 ndani ya miaka 5 na kilijulikana kwa jina la "a little revolution".

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Au-delà de toute pudeur, first published in 1988, - Tafuta na Google". www.google.com. Iliwekwa mnamo 2022-03-01. 
  2. "About: Soumaya Naamane Guessous". dbpedia.org. Iliwekwa mnamo 2022-03-01. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Soumaya Naamane Guessous kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.