Souhila Mâallem
Souhila Mâallem | |
---|---|
![]() Souhila Mallem | |
Amezaliwa | 13 Juni 1988 |
Kazi yake | mwigizaji wa filamu nchini Algeria |

Souhila Mallem (anajulikana kama Bibicha; alizaliwa 13 Juni 1988) ni mwigizaji wa filamu nchini Algeria.[1][2]
Maisha[hariri | hariri chanzo]
Alisomea sheria katika chuo cha algeria 1 (Algiers 1 University).
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ SOUHILA MALLEM: Schauspielerin. filmstarts.
- ↑ Souhila Mallem: Algerian actress. SPLA.
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Souhila Mâallem kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |