Sorakiss

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Barbara Martha Psorakis (anajulikana kama Sorakis, alizaliwa 11 Aprili 1996) ni mwimbaji na mwigizaji wa nchini Ghana.[1][2] Mnamo mwaka 2017 alichaguliwa kuwa mbunge wa Best New Act MP katika ugawaji wa tuzo ya Ghana Entertainment Awards (USA) ambapo Medikal aliibuka mshindi .

Maisha na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Sorakis alizaliwa huko Tema na George Psorakis na Madam Elizabeth Frimpong. Alijiunga na Shule ya sekondari ya Ola kwa elimu yake ya sekondari lakini baadaye alihamia katika Shule ya Kimataifa ya Datus (Datus International School). Alisoma elimu yake ya chuo katika taasisi ya elimu ya National Film and Television Institute (NAFTI).[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Where is Sorakiss’s honey?". www.graphic.com.gh. Iliwekwa mnamo 2019-07-08. 
  2. "Sorakiss eyes multiple awards in 2018". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-07-08. 
  3. "Sorakiss, Biography". www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 2023-02-26. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sorakiss kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.