Nenda kwa yaliyomo

Sooyoung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sooyoung

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Choi Soo-young
Amezaliwa 10 Februari 1990 (1990-02-10) (umri 34)
Gwangju, Gyeonggi, Korea ya Kusini
Aina ya muziki Pop
Kazi yake Mwimbaji, mwigizaji, mwanamitindo
Miaka ya kazi 2002-mpaka sasa
Studio S. M. Entertainment
Ame/Wameshirikiana na Girls' Generation


Choi Soo-young (amezaliwa 10 Februari 1990) ni mwimbaji, mwigizaji, rapa, mwanamitindo, mtangazaji wa televisheni, DJ, na mratibu kutoka nchini Korea ya Kusini. Mwanachama wa kundi maarufu Girls’ Generation.

Tamthilia

[hariri | hariri chanzo]
Imetolewa Title Jukumu Maelezo Mtandao
2008 Unstoppable Marriage Choi Sooyoung Kusaidia jukumu KBS
2010 Oh! My Lady Yeye mwenyewe Jukumu cameo (7 kisa) SBS
2011 Paradise Ranch Bibi Soo Jukumu cameo (3 kisa) SBS
2012 A Gentleman's Dignity Yeye mwenyewe Jukumu cameo (5 kisa) SBS
2012 The 3rd Hospital Lee Eui Jin Kuongoza jukumu (20 visa) tvN

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]