Sonia Denoncourt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sonia Denoncourt (alizaliwa 25 Juni 1964) alikua mwamuzi wa mpira wa miguu wa nchini Kanada . Alifanya kazi FIFA kama mkuu wa maendeleo ya waamuzi wanawake, mkurugenzi wa waamuzi huko Concacaf na kwa sasa anafanya kazi kama mkurugenzi katika chuo cha North America Academy.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Denoncourt alizaliwa huko Sherbrooke, Quebec, nchini Kanada. Alihitimu chuo cha Université de Sherbrooke na shahada ya elimu ya viungo na baadae akapata shahada ya uzamili ya utawala wa michezo kutoka Chuo Kikuu cha Ottawa . [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Sonia Denoncort". drcdurham. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-05-11. Iliwekwa mnamo 2012-08-20. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sonia Denoncourt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.