Sombezo
Jump to navigation
Jump to search

Sombezo ya Wikibase.
Katika utarakilishi, sombezo (kwa Kiingereza: upgrade) ni mchakato wa maendeleo wa programu kwa njia ya toleo jipya. Sombezo inabadilisha toleo la zamani kuwa toleo jipya.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)