Nenda kwa yaliyomo

Sokomjinga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sokomjinga huko Kinshasa.
Sokomjinga huko Hong Kong.

Sokomjinga (pia: genge) ni duka dogo au kibanda ambapo vinauzwa vitu vinavyotumika kila siku, kama pipi, aiskrimu, vinywaji, chakula kilichopikwa tayari, magazeti na majarida, pamoja na tiketi za bahati nasibu.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sokomjinga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.