Slate Nation

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ngot Peter Mou Athuai ni mwanamuziki kutoka nchini Sudan Kusini. Ni msanii, mtunzi wa nyimbo na anajulikana kama Slate Nation. Alizaliwa huko Thiet katika kitongoji cha jimbo la Tonj[1][2][3] .

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Slate Nation:" I am scared and my life is in danger if I were to go back to South Sudan"". 26 May 2017.  Check date values in: |date= (help)
  2. "Australia to Uganda: Slate Nation records song with Chameleone and Pallaso". 29 September 2019. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-22. Iliwekwa mnamo 2022-05-01.  Check date values in: |date= (help)
  3. "Silver X signs upcoming artist Slate Nation". 26 May 2017.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Slate Nation kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.