Tonj (jimbo)
Tonj State | |
![]() |
|
Nchi | Sudan Kusini |
---|---|
Makao makuu | Tonj |
Idadi ya kaunti | 22 |
Idadi ya manispaa | 1 |
Serikali | |
- Gavana | Anthony Bol Madut |
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 448,950 |
Tonj State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.
Imegawanyika katika kaunti 22 (nyingi kuliko jimbo lolote), mbali na manispaa ya Tonj[1].
Kaunti hizo ni:
- Alabek County
- Konggor County
- Akop County
- Awul County
- Rualbet County
- Lou Paher County
- Warrap County
- Manloor County
- Kirik County
- Pagol County
- Luanyjang South County
- Luanyjang North County
- Luanyjang Centre County
- Luanyjang East County
- Ngapagok County
- Jak County
- Manyang-Ngok County
- Wanhalel County
- Thiet County
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Atekdit, Ariik (28 June 2016). Tonj State Governor Appoints Commissioners For 19 Counties. Gurtong. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-04-21. Iliwekwa mnamo 14 August 2016.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tonj (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |