Singida Vijijini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Singida Vijijini (kijani) katika mkoa wa Singida.

Wilaya ya Singida Vijijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Singida (Tanzania) yenye msimbo wa posta 43200[1]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 401,850 [1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Singida Vijijini - Mkoa wa Singida - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Ikhanoda | Ilongero | Itaja | Kijota | Kinyagigi | Kinyeto | Maghojoa | Makuro | Merya | Mgori | Mrama | Msange | Msisi | Mtinko | Mudida | Mughamo | Mughunga | Mwasauya | Ngimu | Ntonge | Ughandi

wilaya ya singida vijijini ina vijiji 279