Kinyagigi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kinyagigi ni jina la kata ya Wilaya ya Singida Vijijini katika Mkoa wa Singida, Tanzania yenye msimbo wa posta 43208[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,409 waishio humo.[2]

Aidha katika kata hii kuna shule moja ya sekondari iitwayo Nyeri Sekondari School na shule nne za msingi, shule moja kwa kila kijiji.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Singida Vijijini - Mkoa wa Singida - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Ikhanoda | Ilongero | Itaja | Kijota | Kinyagigi | Kinyeto | Maghojoa | Makuro | Merya | Mgori | Mrama | Msange | Msisi | Mtinko | Mudida | Mughamo | Mughunga | Mwasauya | Ngimu | Ntonge | Ughandi


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kinyagigi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.