Sinaloa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchezaji wa Ulama, Sinaloa
Bendera ya Sinaloa
Mahali pa Sinaloa katika Mexiko

Sinaloa ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa magharibi ya nchi. Upande wa magharibi ni Ghuba ya California (au Bahari ya Cortez). Imepakana Sonora, Chihuahua, Durango na Nayarit.

Mji mkuu na mji mkubwa ni Culiacán. Jimbo lina wakazi wapatao 2,208,652 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 58,238.

Utalii na kilimo huajiri watu wengi.

Gavana wa jimbo ni Jesús Aguilar Padilla.

Lugha rasmi ni Kihispania.

Miji Mikubwa[hariri | hariri chanzo]

  1. Culiacán (793,703)
  2. Los Mochis (451,977)
  3. Mazatlán (352,471)
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sinaloa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.