Nenda kwa yaliyomo

Los Mochis, Sinaloa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Jiji la Los Mochis
Nchi Mexiko
Jimbo Sinaloa
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 231,977
Tovuti:  www.ahome.gob.mx

Los Mochis (los 'motʃis) ni mji mkubwa wa pili na mji wa pwani katika jimbo la Sinaloa. Mwaka 2005 ilikuwa na wakazi 231,977 mjini.

Mji upo m 17 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji ulinazishwa na Benjamin F. Johnston mwaka 1903. Alikuwa ni mfanyabiashara wa Marekani.


Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Los Mochis, Sinaloa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.