Sille Struck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cecilie Maag Struck (alizaliwa 16 Desemba 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Denmark ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Bristol City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza .[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Solveig Valbjørn (2017-11-12). "10 skæve til Sille Struck". Fodbold for piger (kwa da-DK). Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sille Struck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.