Silinda
Mandhari
Silinda ni neno lililopokewa kutoka lugha ya Kiingereza cylinder; asili yake iko katika Kigiriki Κύλινδρος kylindros, kutoka kitenzi κυλινδειν kylíndein yaani kuzungusha.
Linaweza kumaanisha
- mcheduara au silinda: umbo la kijiometria
- Silinda (injini) ni nafasi au uwazi wenye umbo la bomba ambamo pistoni husogezwa
- Silinda (mashine) ni sehemu yenye umbo la mcheduara inayozunguka na kusogeza au kusukuma kitu (mfano ndani ya printa au mashine ya kuchapa