Nenda kwa yaliyomo

Siga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaburi la Syphax
Mahali pa Siga katika ramani ya Algeria kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 35°15′59″N 1°27′00″W / 35.2663°N 1.4499°W / 35.2663; -1.4499

Siga ilikuwa bandari ya Waberber na Roma karibu na mji unaojulikana kwa sasa kama Aïn Témouchent, Algeria. Chini ya Dola la Roma ilikuwa sehemu ya magharibi mwa Mauretania Caesariensis, mpakani mwa Mauretania Tingitana.

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Siga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.